Posts

Showing posts with the label BURUDANI

Diamond Platnumz – Nitafanyaje (Official Music Video)

Image
Diamond Platnumz – Nitafanyaje (Official Music Video) SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa video ya wimbo wake mpya unaoitwa Nitafanyaje. chanzo:Globalpublishers

MBOSSO Kuondoka WCB- WASAFI

Image
  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na  @OfficialBabaLevo  kupitia ukurasa wake wa Instagram, imebainika kuwa msanii  @Mbosso_  amepewa uhuru wa kuondoka  @WCB_Wasafi  bila kulipa gharama yoyote. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na heshima kubwa ambayo Mbosso ameonyesha kwa  @DiamondPlatnumz  na viongozi wa WCB. Diamond ameamua kumsamehe malipo yote yanayohusiana na kuondoka kwake, hivyo kumpa nafasi ya kujitafutia mafanikio mapya kama msanii huru. Baba Levo alidokeza kuwa WCB inapanga kusaini wasanii wapya tisa mwaka huu 2025

Diamond Platnumz Afunguka: Poze Alitafuta Kiki Akapotezewa Vibaya

Image
  Diamond Platnumz, ameibuka na kukanusha madai ya ubaguzi yaliyotolewa dhidi yake baada ya kushindwa kutumbuiza katika show ya hivi karibuni nchini Kenya. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond amesema waandaaji wa tamasha hilo hawakufanya ubaguzi kwa wasanii wa Kenya, akiwataja Khaligraph Jones na wengine waliotoa burudani ya hali ya juu. @DiamondPlatnumz amedai kuwa madai hayo ni juhudi za kutengeneza "kiki" ili kumhusisha yeye kwenye mijadala na kutafuta huruma za wanadamu. Pia, ameahidi kutoa taarifa rasmi kuhusu kilichotokea, kuelezea sababu za kutofanikisha kutumbuiza kwake