MBOSSO Kuondoka WCB- WASAFI
Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na heshima kubwa ambayo Mbosso ameonyesha kwa @DiamondPlatnumz na viongozi wa WCB. Diamond ameamua kumsamehe malipo yote yanayohusiana na kuondoka kwake, hivyo kumpa nafasi ya kujitafutia mafanikio mapya kama msanii huru.
Baba Levo alidokeza kuwa WCB inapanga kusaini wasanii wapya tisa mwaka huu 2025
Comments
Post a Comment