Posts

Showing posts with the label AJIRA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne

Image
  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne >>>>>.>>> BOFYA HAPA KUONA TANGAZO HILO <<<<<<<<

TRA yamwaga nafasi za ajira 1,596

Image
  Dar es Salaam.  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza nafasi 1,596 za ajira katika kada mbalimbali. Tangazo la nafasi hizo limetolewa leo Alhamisi Februari 6, 2025 na kusainiwa na Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo. “TRA inapenda kuajiri watumishi wenye sifa, uwezo na maadili kushika nafasi za kazi katika Idara ya Mapato ya Ndani, Forodha na Ushuru, Usimamizi na Utawala wa Rasilimali Watu, Huduma za Sheria, Menejimenti ya Manunuzi, Utafiti na Mipango, Fedha, Ukaguzi wa Ndani, Mambo ya Ndani na Idara ya Vihatarishi na Uzingatiaji. Kwa hiyo maombi yanaalikwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa,”imeeleza taarifa hiyo. Aidha taarifa hiyo imeeleza maombi yote yafanywe kupitia mfumo maalimu wa ajira wa TRA ambao ni: https://recruitment.tra.go.tz/tra careers/User/UserHome.aspx. Kada zilizotangazwa nafasi TRA katika tangazo lake imeeleza nafasi hizo zipo katika kada zifuatazo: Ofisa Msimamizi Ushuru daraja la II (573), Ofisa Forodha daraja la II (232), Msaidizi wa Usimamizi wa Ushuru ...

MAJINA AJIRA MPYA SERIKALINI HAYA HAPA, WALIMU 'KIBAO'

Image
  Walimu hao wamepangiwa katika halmashauri tatu kama ifuatavyo; Halmashauri ya Manispaa Temeke (74), Halmashauri ya Mji Kibaha (9) na Halmashauri ya Manispaa Kinondoni (57). Upande wa kada zao, walimu hao wapya walioajiriwa ni kama ifuatavyo: Mwalimu daraja la III B fizikia (14), mwalimu daraja la III B - hisabati (27), mwalimu daraja la III B  biashara (4), mwalimu daraja la III C fizikia (8), mwalimu daraja la III C hisabati (28). Kada nyingine ni: Mwalimu daraja la III C sanaa (2) na mwalimu daraja la III C biashara (12). Taarifa hiyo imeeleza kuwa: “Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya Agosti 14, 2024 na Januari 17, 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. >>>>>>>BOFYA HAPA KUONA MAJINA HAYO<<<<<<< <<<<<<<<<<BOFYA HAPA KUONA MAJINA 2>...

TUNDUMA TC:HAYA HAPA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UKUSANYAJI MAPATO

Image
 Mkurugenzi wa halmashauri ya mji tunduma anawatangazia waombaji wote wa kazi ya kukusanya mapato, kuwa Usaili utafanyika kuanzia tarehe 30/01/2025(usaili wa mchujo ) hadi tarehe 31/01/2025(usaili wa mahojiano) , kama ilivyooneshwa hapa chini:- >>>>>>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MAJINA <<<<<<<<<<<<<