Posts

Showing posts with the label UCHAGUZI

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi za watendaji wa uchaguzi Tanzania Zanzibar

Image
  Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi za mratibu wa uchaguzi, msimamizi wa uchaguzi na msimamizi msaidizi wa uchuguzi ngazi ya jimbo watakaosimamia Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano na Madiwani kwa Tanzania Bara kwa upande wa Tanzania Zanzibar Kwa mujibu wa tangazo la Tume lililosainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima, R. K, nafasi hizo ni kwa Unguja na Pemba na wanaotakiwa kuomba nafasi hizo ni raia wa Tanzania, watumishi wa umma na sifa nyingine zilizoainishwa kulingana na nafasi inayoombwa. Tangazo hilo limemtaka kila mwaombaji aainishe nafasi anayoiomba, akitaja wilaya au jimbo analotaka kufanyia kazi na aambatishe vyeti vya elimu pamoja na maelezo binafsi (CV) na maombi yatapokelewa kuanzia tarehe 3 Aprili, 2025 hadi tarehe 23 Aprili, 2025 saa 9:30 Alasiri. Maombi hayo yanatakiwa kuwasilishwa katika Ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo Maisara kwa upande wa Unguja na Chakechake (Mtaa wa Miembeni) kwa upande wa Pemba kwa a...

MJITOKEZE KUJIANDIKISHA KWENYE ORODHA YA WAPIGAKURA WA SERIKALI ZA MITAA OKT. 11-20'

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wote wenye sifa kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga kura wa Serikali za Mitaa utakaofanyika nchi nzima Oktoba 11-20, 2024. Mhe. Dkt. Samia ameyasema hayo leo wakati alihutubia wananchi wa Halmashauri ya Wilaya Nyasa mkoani  Ruvuma katika mkutano uliofanyika viwanja vya Bandari ya Mbambabay. Amesema ili uwe mpigakura wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni lazima uwe umejiandikisha kwenye Orodha ya Wapigakura wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 11-20/10/2024 nchi nzima na uandikishaji utafanyika kwenye vijiji/vitongoji pamoja na mitaa. "Hivyo niwaombe wananchi wote wenye sifa muda ukifika mkajiandikishe, hili daftari la Kudumu la Wapigakura linaloendelea hivi sasa kwenye maeneo mbalimbali ni kwa ajili ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais utakaofanyika mwaka 2025 ila kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 mnatakiwa wote mkajiandikishe kwenye mitaa...

KANUNI NA MWONGOZO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA NGAZI ZA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024

Image
  >>>>>>>>>BOFYA HAPA KUONA KANUNI ZA UCHAGUZI<<<<<<< >>>>>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA  MWONGOZO WA UCHAGUZI<<<<<<<<