Msigwa Ataja Chanzo Cha Ugomvi Chadema, “Kuna Bwana Mkubwa Amejimilikisha Chama

 Msigwa Ataja Chanzo Cha Ugomvi Chadema, “Kuna Bwana Mkubwa Amejimilikisha Chama – Video

Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama cha CCM ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.

Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.


>>>>>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO<<<<<<<<

Comments

Popular posts from this blog

Mbinu 11 Za Jinsi Ya Kumtongoza Mwanamke Kwa Njia Ya Kuvutia

APPLICATIONS hizi HAPA haziruhusiwi kutoa mikopo mtandaoni

CHADEMA hatarini kufutiwa usajili