CLUB YA cs sfaxien YAPEWA ADHABU HIZI NA CAF BAADA YA KUNG'OA VITI
Club ya cs sfaxien imepewa ADHABU mbili na shitikisho la mpira Africa baada ya Club ya Simba kupeleka malalamiko yake CAF, Kuhusu Vurugu zilizoanzishwa na Waarabu hao baada ya kufungwa Gori dakika za nyongeza na club ya Simba.
ADHABU walizopewa cs sfaxien ni zifuatazo:-
- Kucheza bila mashabiki mechi Yao na Simba na pia mechi Yao na Fc Bravos
- ADHABU ya kulipia kiasi Cha shilingi za kitanzania sh. Milioni 119 (USD 50,000/=).
Comments
Post a Comment