Nay Atinga Basata na Mwanasheria Wake, Atuhumiwa Kwa Makosa 4, Apewa Siku 7 Kujitetea..
Msanini wa muziki wa Hiphop hapa nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ leo, Ijumaa Septemba 26, 2024 ametinga kwenye ofisi za Basata kwa ajili ya kuitikia wito wa Baraza hilo kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’ aliouachia hivi karibuni
Akiwa ameongozana na Wakili wake Jebra Kambole, msanii huyo amezungumza na wanahabari kuhusiana na kile kilichojitokeza
Chanzo: globalpublishers
Comments
Post a Comment