CHADEMA kuwapokea tena waandamizi waliowahi kukimbia chama

 Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

PICHA: MTANDAO

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimesema katika ziara hiyo ambayo itaanzia Kanda ya Nyasa kwa kuanzia mkoa wa Mbeya, kinatarajia kupokea wanachama wapya na miongoni mwao ni waliokuwa wanachama waandamizi wa chama hicho.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani Golugwa wakati akizungumza na waaandishi wa habari kutangaza kuanza ziara hizo ambayo alisema inatarajiwa kuchukua siku 47 mpaka mwanzoni mwa Mei mwaka huu.

Comments

Popular posts from this blog

NEMC:Zifahamu fursa zilizopo kwenye taka

APPLICATIONS hizi HAPA haziruhusiwi kutoa mikopo mtandaoni

Geofrey Kiliba, rais mpya wa TAHLISO