WACHEZAJI WATATU SINGIDA BLACK STARS WAPEWA URAIA NA UHAMIAJI
- EMMANUEL KWAME KEYEKEH
- JOSEPHAT ARTHUR BADA
- MUHAMED DAMARO CAMARA,
Ambao waliomba nz wamepewa uraia kwa mujibu wa vifungu vya 9 na 23 vya sheria ya uraia ya Tanzania , sura ya 357.
Kwa muktadha huo kama taarifa ilivyovyotolewa na Idara ya uhamiaji watajwa hapo juu ni Raia wa TANZANIA KWA TAJNISI.


Comments
Post a Comment