Mtihani wa Lissu Chadema ni sawa na Ruto Kenya

 


Uchaguzi unapoisha, macho yote humtazama aliyeshinda. Matarajio huwa mengi endapo mshindi anakuwa mpya kwenye kiti. Mategemeo huwa na nguvu zaidi pale mshindi mpya anapofanikiwa kupitia agenda ya kumsiliba mtangulizi wake.

Ilitokea Kenya kama mfano dhahiri. Rais William Ruto, hadi sasa bado anateswa na urais wake. Tangu alipokula kiapo kuiongoza nchi hiyo, Septemba 13, 2022, amekuwa akikumbwa na misukosuko mingi. Kuanzia maandamano ya Raila Odinga hadi ya Kizazi Z (Gen Z).<<<<<<<<<bofya hapa kusoma zaidi>>>>>>>>


chanzo:mwananchi



Comments

Popular posts from this blog

NEMC:Zifahamu fursa zilizopo kwenye taka

APPLICATIONS hizi HAPA haziruhusiwi kutoa mikopo mtandaoni

Geofrey Kiliba, rais mpya wa TAHLISO