MBOWE KUTOTOKEA WAKATI WA MAKABIDHIANO MAKABIDHIANO, MNYIKA ATOA MAJIBU
Kuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kutoonekana wakati wa makabidhiano ya ofisi,
Katibu mkuu wa CHADEMA
John Mnyika alisema katiba ya chama hicho inaruhusu Katibu Mkuu kusimamia zoezi hilo na kwamba hakuna shida kama watu wanavyodhani.
Comments
Post a Comment