Yanga Waona Isiwe Tabu Waamua Kumrejesha Kocha Cedric kaze Jangwani....

 



Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo.

Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic,

Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.


Comments

Popular posts from this blog

NEMC:Zifahamu fursa zilizopo kwenye taka

APPLICATIONS hizi HAPA haziruhusiwi kutoa mikopo mtandaoni

Geofrey Kiliba, rais mpya wa TAHLISO