WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2025 MAJINA HAYA HAPA.

 



Jumla ya wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2024 tayari wamechaguliwa na wamepangiwa Shule za Sekondari na wanatarajiwa kuanza masomo yao Januari 2025. Hii ni hatua muhimu inayolenga kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kuendelea na elimu ya sekondari, hatua inayochangia katika kuinua viwango vya elimu nchini.

>>>>>>>>>>>>>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MAJINA NA SHULE WALIZOPANGIWA KIDATO CHA KWANZA<<<<<<<<<<<<<<<<

Comments

Popular posts from this blog

NEMC:Zifahamu fursa zilizopo kwenye taka

APPLICATIONS hizi HAPA haziruhusiwi kutoa mikopo mtandaoni

Geofrey Kiliba, rais mpya wa TAHLISO