TANGAZO LA KUITWA KAZINI (BVR) UBORESHAJI WA DAFTARI TUNDUMA

 







Afisa mwandikishaji jimbo la Tunduma anawataarifu waombaji wote wa kazi ya mwandishi msaidizi na mwendeshaji vifaa vya bayometric(BVR ).

Aidha waombaji waliochaguliwa wanatakiwa kufika ofisi ya afisa mwandikishajiwa JIMBO la tundumailiyopo mtaa wa Msampania, kata ya Chapwa siku na tarehe watakayoarifiwa.


>>>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI<<<<<<<<


Comments

Popular posts from this blog

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2025 MAJINA HAYA HAPA.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024.