Prof. Janabi, kumrithi Dk. Ndugulile WHO

 



Rais Samia Suluhu Hassan amemshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, kujiandaa kuchukua nafasi ya kimataifa iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, kabla ya kufariki dunia Novemba 27,2024

Comments

Popular posts from this blog

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2025 MAJINA HAYA HAPA.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024.