Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 2025
Licha ya kutajwa majina saba ya warithi wa KINANA katika nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ccm.
Mrithi atafahamika katika mkutano mkuu maalumu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 na 19 January 2025.
Kwa mujibu wa taarifa za ndani zinadai kuwa lengo la mkutano huo ni kuziba pengo la ABDULRAHMAN KINANA aliyejiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Chanzo: Mwananchi.co.tz
Comments
Post a Comment