LISSU ATANGAZA KUWANIA NAFASI YA MBOWE

 


Makamu mwenyekiti wa CHADEMA BARA, TUNDU LISSU Ametangaza kugombea nafasi ya UENYEKITI wa CHADEMA taifa Ambayo kwa sasa inashikiliwa na FREEMAN MBOWE.


Akitangaza azma hiyo leo tarehe 12-12-2024, amesema 

"kwa sasa mimi ni Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Lakini pia nimewahi kuwa Rais wa TLS, wakili na mwanaharakati na mtetezi  wa  wananchi na nafasi nyingine kwa sababu zote hizi naamini  wanachama wenzangu mnaamini nina sifa ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa"

 chanzo:millardayo

Comments

Popular posts from this blog

Tume huru ya uchaguzi yabaini watu kujiandikisha zaidi ya mara moja

Wanawake wawili wakamatwa wakiwa watupu katika Madhabahu ya KKKT Hai

Jiji la Mbeya kugawanywa kuwa majimbo mawili ya uchaguzi