TAIFA STARS INAWEZA KUONDOLEWA KUSHIRIKI MICHUANO YA AFCON 2025,,, KWA SABABU HIZI HAPA....?

 




Huenda timu ya taifa ya Tanzania TAIFA STARS ikakumbwa na adhabu ya kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025, Kwa kosa la kumuingiza mchezaji IBRAIMU AME akiwa amevalia Jezi nambari  ''26'' lakini katika orodha iliyowasilishwa CAF hakunamchezaji mwenye jezi nambari ''26''  Kama ambavyo Guinea walivyoripoti  Shirikisho la mpira CAF.

TUENDELEE KUFUATILIA  Tundumazone.blogspot.c0m




Comments

Popular posts from this blog

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2025 MAJINA HAYA HAPA.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024.