WACHEZAJI AL AHLY TRIPOLI WAKATWA MISHAHARA MIEZI MIWILI KISA SIMBA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Al Ahly Tripoli ya libya wameamua kuwakata mishahara ya miezi miwili wachezaji wao kufuatia matokeo mabovu ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kuondoshwa kwenye kombe la Shirikisho na klabu ya Simba ya Tanzania
.
Kabla ya tukio hili la kukata mishahara kwa wachezaji bodi ya Al Ahly Tripoli iliwafuta kazi makocha wake wote mapema baada ya kutolewa na Simba kwenye kombe la shirikisho.
Wanawake tunakumbana nao kila siku, kila wakati na kila saa. Lakini jiulize...Je, mimi hutumia njia sahihi kumtongoza mwanamke? Ukishajiuliza hilo swali kwanza tafakari halafu nikueleze hali halisi iliopo . Katika jamii yetu, wanaume wengi wanapata changamoto katika kuonyesha hisia zao kwa wanawake kwa njia sahihi. Hivyo, leo tumeamua kukuandalia makala hii ili kutoa mwongozo wa jinsi ya kumvutia mwanamke na kumfanya akupende na kukubali mapenzi yako. Tutazingatia hoja kumi na moja ambazo zitakusaidia kufikia lengo lako la kumtongoza mwanamke kwa njia ya kuvutia. Zama nasi... #1 Kuwa mwaminifu. Mwanaume anapaswa kuwa mwaminifu katika nia yake ya kumtongoza mwanamke. Kusema ukweli ni muhimu sana katika uhusiano wowote na hasa katika hatua ya kumtongoza mwanamke. Kwa kufanya hivyo, mwanaume anaweza kuonyesha kwamba yeye ni mtu anayejali na anayeheshimu hisia za mwanamke. #2 Kuwa mwenyewe. Mwanaume anapaswa kuwa mwenyewe au asilia na asijifanye kuwa mtu mwingine ili kumvutia m...
ENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza application 69 ambazo haziruhusiwi kutoa huduma za mikopo mtandaoni kwa kuwa hazina kibali na haziruhusiwi kuendesha shughuli hizo, huku ikiitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzifungia. Hatua hii inakuja mwezi mmoja tangu Nipashe iibue kero iliyopo kwenye mikopo mtandaoni, huku kasi ya udhalilishaji na utoaji riba kubwa ambao hauna utaratibu wa kisheria hadi BoT ilivyotoa mwongozo kwa watoa huduma hao na kuwataka wajisajili. Licha ya kupewa siku 14, walijitokeza waombaji 16 na kati yake 14 pekee walikidhi vigezo, huku BoT ikichukua hatua kali kwa Microfinance ambazo zilianzisha Apps na kutoa mikopo mtandaoni. Taarifa kwa umma iliyotolewa jana na Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba: “Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi ‘Applications” zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.” Kupitia taarifa hii, Ben...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kipo katika hatari ya kufutiwa usajili iwapo kitaendelea na kuwatambua viongozi waliovuliwa uongozi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Katika barua ya Msajili iliyotoa taarifa kwa ofisi hiyo imeeleza kuwa inayo mamlaka ya kukifutia usajili chama hicho endapo kitaendelea kuwatambua viongozi hao. “Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inapenda kuwakumbusha wanachama na viongozi wa CHADEMA kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa Msajili anayo mamlaka ya kusimamisha usajili wa chama hicho” imesema sehemu ya barua ya Msajili. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imeendelea na msisitizo wake wa kutoitambua Sekretarieti ya uongozi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inayomjumuisha Katibu Mkuu wake John Mnyika. Sekretarieti hiyo ya CHADEMA iliteuliwa Januari 22 mwaka huu kwenye Baraza Kuu la chama hicho baada ya kupatikana kwa uongozi mpya unaoongozwa na Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu. cha...
Comments
Post a Comment