HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA
Leo tarehe 29/10/2024 Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya Darasa la saba Kwa mwaka 2024
Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%, Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 81.85% na wasichana ni 525,172 Sawa na 80.05%, hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%”, Dk.Said Mohamed, Katibu Mtendaji NECTA
<<<<<<<BOFYA HAPA KUTAZAMA>>>>>>>>
Comments
Post a Comment