Chino Kid: Mimi na Marioo Tumesaidiana, Alinikuta Tayari Mimi ni Mkubwa Katika Game

 




Msanii Bora Chipukizi kwenye Tuzo za #TMA, @chino_kidd7 amefunguka kuhusu kuacha kumtaja Staa wa muziki @marioo_tz kama moja ya watu wenye mchango kwenye safari yake ya Music.
.
Akizungumza kwenye #Whatspoppin ya #Cloudsfm #Chino amesema kuwa….

“Nilikuwa na furaha sana ile siku ndio maana sikumaliza maneno yote kuna baadhi ya maneno nilikosea kwa furaha, Kuna watu wengi sikuwataja kama kina @s2kizzy lakini sipendi kutengenezewa stori mimi ni kijana ninaepambana na nina mchango kwa wasanii kibao sio lazima niwe naongea”

“Ukizingatia @marioo_tz mimi ni mkubwa kuliko yeye nimezaliwa 1995 lakini tulianza kazi tukiwa tunapambana hatuna kitu Kwahyo wote tumesaidiana kwahyo #Marioo anapaswa kunishukuru na Mimi”

“Nimekutana na #Marioo mimi tayari ni Dancer wa #RichMavoko najulikana nmewahi kucheza mpaka #WCB, #RichMavoko ndio amefanya watu wanijue

Comments

Popular posts from this blog

Tume huru ya uchaguzi yabaini watu kujiandikisha zaidi ya mara moja

Wanawake wawili wakamatwa wakiwa watupu katika Madhabahu ya KKKT Hai

Jiji la Mbeya kugawanywa kuwa majimbo mawili ya uchaguzi