Popular posts from this blog
TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam. Amesema wanafunzi hao wameandika matusi ni tatizo la maadili, matusi hayakubaliki chumba cha mtiani na kila mahali, mwaka huu wametokea wanafunzi watano wameandika matusi,” amesema Dk. Mohammed. >>>>>>>>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE<<<<<<<<
WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2025 MAJINA HAYA HAPA.
Jumla ya wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2024 tayari wamechaguliwa na wamepangiwa Shule za Sekondari na wanatarajiwa kuanza masomo yao Januari 2025 . Hii ni hatua muhimu inayolenga kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kuendelea na elimu ya sekondari, hatua inayochangia katika kuinua viwango vya elimu nchini . >>>>>>>>>>>>>>>>> BOFYA HAPA KUTAZAMA MAJINA NA SHULE WALIZOPANGIWA KIDATO CHA KWANZA <<<<<<<<<<<<<<<<
Comments
Post a Comment