Elie Mpanzu atambulishwa Simba

 Karibu simba Mpanzu Elie 🦁.



Simba Sports Club rasmi wamemtambulisha usajili wa Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo Elie Mpanzu Kibisawala (22)🇨🇩  kwa mkataba wa miaka miwili.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024.

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2025 MAJINA HAYA HAPA.